MAN UNITED YARUDI NA OFA YA PAUNDI MILLIONI 35 KWA AJILI YA FELLAINI NA BAINES – KOCHA WA EVERTON ASEMA WACHEZAJI WAKE HAO WANAKOSA UMAKINI KUTOKA NA KUTAKIWA NA UNITED

image

D

image

Manchester United wamatuma ofa
nyingine ya pamoja ya £35 million
kwa ajili ya wachezaji wa Everton
Marouane Fellaini na Leighton
Baines mapema leo, taarifa kwa
mujibu wa Telegraph.
Ofa hiyo mpya imegawanyika kwa
£20m kwa ajili ya Maroune Fellaini
na £15m kwa ajili ya Leighton
Baines, hii inakuja baada ya
Toffees kuikataa ofa ya mwanzo ya
£28m.
Kocha wa Everton Roberto Martinez
amekuwa akikaririwa akisema
angependa kuendelea kuwa na
wachezaji hao Goodison Park lakini
mhispania huyo anataka hatma ya
wachezaji hao ijulikane mapema ili
aweze kufanya maamuzi ya
kuimarisha kikosi chake kabla ya
dirisha la usajili halijafungwa.
Pia kocha huyo wa zamani wa
Wigan amesema wachezaji wake
hao wawili sasa wnaonekana
kutokuwa sawa kisaikolojia kutoka
na kutakiwa huko na United hivyo
kushindwa kuweka umakini wao
katika kuitumikia klabu yao.
Kocha wa United David Moyes ni
shabiki mkubwa wa Fellaini na
Baines, ambao amefanya kzi kwa
muda mrefu ndani ya Everton kabla
hajaenda Old Trafford kumrithi Sir
Alex Ferguson.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑