Mmoja kati ya wasanii
waliokuwa wanaunda kundi la
(ECT) East coast team ,kundi hilo
lilikuwa na watu kama
Ay,Fa ,Stan boy,O ten ,pamoja
na kiongozi wao King crazy Gk .
Akizungumza na Team
tizniz,Snare alisema ”” Bado
nafanya muziki ila unajua hii ni
biashara hivyo lazima ujaribu
kujiongezea vitu vingi
zaidi, kwaiyo kwassa nje ya
muziki nafanya filamu na tayari
nimeshafanya filamu mbili .
Moja ni Shujaa na nyingine ni
Machweo,ila filamu ambayo
itaanza kutoka ni Machweo nah
ii imehusisha wasani wengi tu
kama Fid Q , Buff G , Steve Rnb
pamoja na wengine wengi.ila
hata Shujaa pia. Mwisho wa
mwezi wa 10 itakuwa tayari.
posted by janjaweed!
Advertisements
Leave a Reply