HAYA NDIO MAPATO YA MCHEZO WA YANGA VS ASHANTI YAINGIZA MIL 102/-

image

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL)
kati ya Yanga na Ashanti United
iliyochezwa juzi (Agosti 24 mwaka
huu) katika Uwanja wa Taifa, Dar es
Salaam imeingiza sh. 102,856,000.
Watazamaji 17,744 walikata tiketi
kushuhudia mecchi hiyo namba
moja ya VPL msimu wa 2013/2014
iliyomalizika kwa mabingwa
watetezi Yanga kuibuka na ushindi
mnono wa mabao 5-1.
Viingilio katika mechi hiyo vilikuwa
sh. 5,000, sh. 8,000, sh. 15,000 na
sh. 20,000 huku kila klabu ikipata
mgawo wa sh. 24,400,102.45 wakati
Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)
iliyolipwa ni sh. 15,689,898.31.
Mgawo mwingine wa mapato hayo
ni asilimia 15 ya uwanja sh.
12,406,831.75, tiketi sh. 4,453,890,
gharama za mechi sh. 7,444,099.05,
Kamati ya Ligi sh. 7,444,099.05,
Mfuko wa Maendeleo ya Mpira wa
Miguu (FDF) sh. 3,722,049.53 na
Chama cha Mpira wa Miguu Mkoa
wa Dar es Salaam (DRFA) sh.
2,894,927.41.

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑