Ile video ya Diamond ya Afrika kusini anaizindulia hapa bila kiingilio

image

Ni mazoea ambayo watu wake
wamekua nayo kwamba akiwa na
tukio kama hili basi ni lazima
atalifanya kwenye mojawapo ya
club za usiku Dar es salaam kama
alivyokua akifanya mara nyingi
lakini this time staa huyu anaelipwa
ghali zaidi kwenye show zake
ambae pia siku zake za kupumzika
mara nyingi ni jumatatu au
jumanne ameenda kwenye levo
nyingine.
Diamond Platnumz kesho August 29
2013 anategemea kuitambulisha
kwa fans wake video yake mpya
kabisa ambayo picha zake
zilisambaa kwenye mtandao
ambapo ameishoot Afrika Kusini na
hili tukio litafanyika kwenye hotel
ya kifahari Dar es salaam… Serena.
Diamond mwenyewe anasema
hakutakuwa na kiingilio kwenye
uzinduzi huo lakini wataofika ni
wale waliopewa mwaliko maalum
kuingia kwenye hii hoteli maarufu
ambayo ilizoeleka pia
kuwahudumia mastaa wakubwa wa
muziki kama Fabolous, Koffi
Olomide na wengine lakini this
time Diamond Platnums amekodi
ukumbi alafu hataki watu walipe
kiingilio, yani anaalika tu.

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑