BINTI APEWA KICHAPO JIJINI ARUSHA BAADA YA KUKATISHA MITAA AKIWA NUSU UCHI…

image

Msichana mmoja ambaye jina lake
halikujulika amejikukuta katika
wakati mgumu baada ya kuzomewa
na kuchapwa viboko na kundi la
watu katika eneo la soko la nmc jiji
arusha kwa madai ya kuvaa nguo
fupi hali iliyowalazimu wasamaria
wema kuingilia kati na kutumia
nguvu kubwa ili kumwokoa na
kumsitili kwa kumfunika na nguo
zingine.
Watu walio shuhudia tukio hilo
wamedai kuchukizwa na aina ya
nguo alizizovaa msichana huyo
ambazo haziendani na maadili ya
Kitanzania, ndiyo maana waliamua
kumwadabisha ili kukomesha tabia
hiyo.
Kwa upande wao wanawake walio
msitili msichana huyo kwa kumpa
nguo za heshima na kumhifadhi
katika Gareji ya jirani kabla ya
kumkimbiza kwa gari aina ya Toyota
Hiace wamesema hawaridhishwi na
tabia hiyo inayowazalilisha
wanawake na kuwataka wasichana
kuavaa nguo za kujisitili ili kujenga
heshima katika jamii.
source: niaje blog

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑