Boban, Nyosso waapa kumaliza zama za Simba na Yanga

image

KIUNGO mshambuliaji wa
Coastal Union, Haruna Moshi
‘Boban’ na beki wa timu hiyo ,
Juma Nyosso , wamesema
watahakikisha wanachangia kwa
kiasi kikubwa kumaliza zama za
Simba na Yanga msimu huu.

image

Wachezaji hao wote
wamesajiliwa Coastal wakitokea
Simba ambayo waliichezea
msimu mzima uliopita.
Wakizungumza na Championi
Jumatatu, wachezaji hao
walisema watahakikisha
wanaisaidia timu yao kuibuka
na ushindi katika mechi zote ,
zikiwemo za Simba na Yanga ili
kutwaa ubingwa na kumaliza
zama za wakongwe hao.
“Msimu huu unaonyesha
dhahiri kuwa zama za Simba na
Yanga zimefika ukingoni . Sisi
tutapigana kuhakikisha Coastal
inatwaa ubingwa ,” alisema
Boban.
“Matokeo ya mechi mbili
zilizochezwa yanaonyesha wazi
kuwa zama za Simba na Yanga
ndiyo basi tena, kila timu
inaonyesha ushindani ,” alisema
Nyosso na alipoulizwa
kuhusiana na Coastal akasema :
“Tutatoa ushindani mpaka
hatua ya mwisho.”

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑