BANZA HALI MBAYA

image

NGULI wa muziki wa Dansi
Bongo, Ramadhan Masanja
‘Banza Stone’ ameanza kuugua
tena ambapo tangu Sikukuu ya
Iddi hadi sasa yupo hoi
kitandani.
Akizungumza kwa huzuni na
paparazi wetu, Banza alisema
alipomaliza shoo ya Sikukuu ya
Iddi na Bendi ya Extra Bongo ,
alianza kuugua, akaenda
Hospitali ya Yemen iliyopo
Sinza , Dar ikagundulika ana
malaria kali ambapo alipewa
dozi ya siku saba .
“Nilipewa dawa za malaria
nikameza nikaambiwa baada ya
siku saba nitajisikia vizuri lakini
mpaka sasa sioni mabadiliko
yoyote, bado mwili unaniuma
sana, nashinda kitandani kila
siku hivyo muziki basi kwa
sasa,” alisema Banza na
kuongeza:
“Najua mashabiki wangu
watanimisi lakini kwa sasa
muziki nimepumzika, naomba
mashabiki waniombee.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑