WASANII ambao ni chipukizi
wamewaumbua mastaa
wakubwa Bongo Movies , kwa
kumiliki nyumba zilizokuwa
zikijengwa katika Kijiji cha
Mwanzega, Mkuranga mkoani
Pwani.
Wasanii wapatao 38
walikabidhiwa nyumba pamoja
na vyeti vyao na Mtandao wa
Wasanii ( SHIWATA) chini ya
mwenyekiti wake , Kassim Twalib
Kassim baada ya kujituma kwa
muda mrefu kulipia ujenzi wa
nyumba hizo hivyo kuwafanya
mastaa wengi wenye majina
makubwa ambao hawajenga
waone aibu .
Josephine Joseph , mmoja wa
chipukizi hao alikabidhiwa
nyumba ikiwa imekamilika
(tazama pichani) ambapo
aliwasihi wasanii wengine
kutobweteka.
Advertisements
Leave a Reply