WOLPER AVUNJA GLASI YA DIAMOND

image

STAA wa Bongo Movie ,
Jacqueline Wolper juzikati
alijikuta kwenye wakati mgumu
baada ya kuvunja glasi ya Rais
wa Wasafi , Nasibu Abdul
‘Diamond ’, Amani lilishuhudia.
Tukio hilo lilijiri Agosti 28,
mwaka huu ndani ya Ukumbi
wa Hoteli ya Serena , Posta jijini
Dar ambapo staa huyo alikuwa
kwenye uzinduzi wa video ya
Diamond .
Ilikuwa wakati Diamond
akisalimiana na mastaa
mbalimbali, alipofika kwa
Wolper aliigusa kidogo,
ikaanguka.
Paparazi wetu alipomuuliza
Wolper sababu ya glasi hiyo
kuvunjika, alijibu : “Hata mimi
sijui nini kimetokea, tulikuwa
tunasalimiana ghafla tu glasi
yake ikadondoka na kupasuka,
sijui ni miujiza au nini loh!”
Diamond naye akatia neno:
“Nimeshtukia glasi ipo chini tu,
daah! Sina hata cha kueleza
juu ya hili . ”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑