SANDRA ATOA WOSIA WA KIFO

image

MSANII wa filamu za Kibongo, Salma
Salmini ‘Sandra’ ametoa wosia kuwa
siku akiaga dunia azikwe siku
hiyohiyo, maiti yake isilazwe.
Akizungumza na paparazi wetu,
Sandra alisema alishawaambia
ndugu zake pamoja na mumewe
kuwa siku akiaga dunia azikwe
haraka kwani imani yake inasema
hivyo pia babu yake alimhusia hivyo.
Mwigizaji huyo alisisitiza kuwa, hata
kama akiaga dunia asubuhi basi
azikwe mchana kwa sababu familia
yao ina asili ya Kiarabu mtu akifa
anatakiwa kusitiriwa haraka
iwezekanavyo kwani kuichelewesha
maiti ni kuiongezea adhabu.
“Nimeshawaambia ndugu zangu na
mume wangu kwamba ikitokea
nimekufa maiti yangu isisubiri
ndugu, jamaa na marafiki, hata kama
mume wangu akiwa hayupo nizikwe
tu,” alisema Sandra.
source=globalpublisher.info

posted by kulwa ngatigwa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑