MECHI YA SIMBA, MTIBWA YAINGIZA MIL 95 /-

image

Timu za Simba na Mtibwa
zikiingia uwanjani jana .

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom
(VPL ) kati ya Simba na Mtibwa
Sugar iliyochezwa jana
(Septemba 14 mwaka huu)
katika Uwanja wa Taifa , Dar es
Salaam imeingiza sh.
95,080 ,000 .
Watazamaji 16 ,507 walikata
tiketi kushuhudia mechi hiyo
namba 15 ya VPL msimu wa
2013/ 2014 iliyomalizika kwa
wenyeji Simba kuibuka na
ushindi wa mabao 2 -0 .
Viingilio katika mechi hiyo
vilikuwa sh . 5 ,000 , sh. 8 ,000 ,
sh. 15,000 na sh . 20,000 huku
kila klabu ikipata mgawo wa sh.
23,018 ,077 . 45 wakati Kodi ya
Ongezeko la Thamani (VAT)
iliyolipwa ni sh. 14,503 , 728 .81.
Mgawo mwingine wa mapato
hayo ni asilimia 15 ya uwanja
sh. 11,704 , 107 .18, tiketi sh .
2, 548 ,890 , gharama za mechi
sh. 7, 022 ,464 .31 , Kamati ya Ligi
sh. 7, 022 ,464 .31 , Mfuko wa
Maendeleo ya Mpira wa Miguu
(FDF ) sh. 3 ,511 ,232 . 15 na
Chama cha Mpira wa Miguu
Mkoa wa Dar es Salaam ( DRFA)
sh. 2, 730 ,958 .34 .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑