JENGO LINALOUNGUA SIYO MAISHA CLUB

image

Ni moshi unaotoka katika
jengo lililo jirani na Maisha
Club
-Chanzo cha moshi huo ni
uchomaji takataka uliokuwa
unaendelea
Hali ya sintofahamu imetokea
leo mchana eneo la Maisha
Club, Oysterbay jijini Dar es
Salaam baada ya moshi kuzuka
eneo hilo na wadau kudhani
kuwa klabu hiyo ndiyo
inaungua. Taarifa mbalimbali
zilienea katika mitandao ya
kijamii kuwa Maisha Club
imeungua moto .
Habari zisizo na shaka kutoka
kwa Meneja wa klabu hiyo,
Majay, ni kwamba jengo
lililokuwa likitoa moshi siyo la
Maisha Club bali ni la jengo
jipya lililo jirani . Ameeleza
kuwa chanzo cha moshi huo ni
zoezi la uchomaji taka lililokuwa
linaendelea na kupelekea moshi
mkubwa kuonekana angani
eneo hilo. Hivyo wadau wote wa
Maisha Club wasiwe na
wasiwasi.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑