AMANDA”WOWOWO NI ASILI YANGU SI MCHINA-NAWASHANGAA WANAUME WAZIMA WANAACHA KAZI ZAO NA KUNIZOMEA”

image

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo,
Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta
katika wakati mgumu wa kuzomewa
kutokana na kukatiza kitaa akiwa na
nguo iliyombana na kuonesha
makalio yake yaliyojazia.Kwa mujibu
wa mtoa taarifa, tukio hilo
lilichukua nafasi Ijumaa iliyopita
maeneo ya Mwenge, jijini Dar
ambapo msanii huyo alikuwa
ameenda kwa ajili ya kununua
mahitaji mbalimbali ndipo kundi la
wanaume wakware lilipoanza
kumzomea. Tukio hilo lilimfanya
Amanda apoteze amani ghafla na
kuamua kutimka zake eneo hilo huku
akiwashangaa. Paparazi wetu hakuwa
nyuma, alimpigia simu na kumuuliza
kulikoni?
“Daah! Ilikuwa kero kweli, wanaume
wazima wanaacha kazi zao na kuanza
kunizomea huku wakiniambia kuwa
ni dawa za Kichina. Lakini ukweli ni
kuwa hii ni asili yangu na si
Mchina,” alisema Amanda

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑