Dully Sykes atangaza kuuza studio ya Dhahabu Record

image

Huenda ule usemi kuwa ‘Mshika
Mbili Moja Humponyoka’
umemuingia vyema hitmaker wa
Utamu na producer Dully Sykes
ambaye anamiliki studio mbili,
Dhahabu Records na 4.12. Kwa
mujibu wa blog ya mtangazaji wa
East Africa Radio, Anna Peter, Dully
ametangaza kuiuza Dhahabu
Records.
Kwa mujibu wa blog hiyo, Dully
Sykes ameamua kuiuza studio hiyo ili
aweze kubaki na moja tu, 4.12.
“Dully alisema kuwa kwa yeyote
ambaye atajitokeza kununua studio
hiyo atamuuzia vifaa vilivyopo ndani
pamoja na jina la Dhahabu Recs.Kwa
yeyote anayetaka kununua studio
hiyo amtafute,” imeandika blog hiyo.
-Bongo 5

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑