NANA SASA SHAVU DODO

image

BAADA ya kuugua kwa muda mrefu
hadi kupoteza muonekano wake wa
asili, msanii ambaye aliwika kupitia
kundi la Kaole, Tausi Chuwa ‘Nana’
ameibuka akiwa katika muonekano
mpya wa kuvutia (shavu dodo).
Akizungumza na Weekly Star
Exclusive, Nana alisema amepitia
katika mapito magumu hivyo kwa
sasa hataki kuyakumbuka zaidi ya
kumshukuru Mungu kwa kuwa yupo
fiti na maisha yanaendelea.“Kwa
kweli maisha yangu ya nyuma
hayawezi kuelezeka kabisa nimepitia
katika mapito magumu mno na
ninamshukuru Mungu sana kwa sasa
niko salama na nitarudi kwenye
sanaa hivi karibuni,” alisema Nana.
Kuhusu hamu ya sanaa, msanii huyo
alisema ndoto yake kubwa ni kufanya
kazi nzuri kama Jacob Steven ‘JB’
ambaye mara nyingi amekuwa
akimuomba msaada lakini amekuwa
akimpotezea.
“Namkubali sana JB, nimejaribu sana
kumuelezea nia yangu ya kufanya
naye kazi lakini naona amekuwa
kama halitilii maanani suala langu,”
alisema Nana.
Nana alipotea kwenye gemu kwa
miaka kadhaa hali ambayo
imemfanya mashabiki pamoja na
wadau wa filamu wamsahau

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑