RECHO ATUPIA NUSU UTUPU

image

MSANII wa filamu za kibongo, Rachel
Haule ‘Recho’ hivi karibuni aligeuka
kituko baada ya kutupia picha ya
nusu utupu katika mtandao wa
kijamii.
Picha hiyo ambayo Recho amevaa
shati tupu (inayoonesha ndani) bila
kuvaa kitu kingine chochote, aliitupia
kwenye mtandao wa kijamii wa
Instagram ambapo mashabiki na
marafiki zake walichangia huku
wakimlaumu kuwa hakufanya vizuri
kuiweka picha hiyo ya aibu
mtandaoni.
Paparazi wetu alimuuliza Recho
kulikoni? Akajibu hivi:
“Nawapenda sana marafiki zangu
lakini mimi sijaona tatizo la hii picha
kwa sababu ni ya kawaida sana sioni
ubaya wake.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑