MSANII WA KUCHORA ANAYE TUMIA UUME WAKE KUCHORA PICHA MBALI MBALI

image

image

image

image

Ni kweli kwamba ubunifu katika
biashara ni njia ya kuongeza
wateja lakini kwa ubunifu wa Tim
Patch msanii wa kuchora kutoka
Australia nadhani ubunifu wake
umepitiliza.
Msanii huyo ameamua kutotumia
brush maalum kwaajili ya kazi ya
kuchora na badala yake ameamua
kutumia ‘uume’ wake kuchora
michoro mbalimbali huku akiwa
mtupu mbele ya wateja wake wa
jinsia zote.
Tim ambaye anafahamika zaidi
kwa jina la kisanii Pricasso katika
maonesho ya sanaa yaliyofanyika
hivi karibuni aliwasilisha michoro
yake mbalimbali aliyoichora kwa
kutumia uume wake na
kujitangaza kuwa yeye ndiye
mwanzilishi wa P*n*s-Art.
Bongo 5

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑