HIZ NI TWEET ZA MASHABIKI WALIVYOPONDA UWEPO WA ALLY ZAHIR ZORRO KUWA KAMA JUDGE WA TUSKER PROJECT FAME

image

Mashabiki wengi wa shindano la
‘Tusker Project Fame ‘
linalofanyika nchini Kenya kila
mwaka wameonekana
kutofurahishwa na ujio wa jaji
mpya wa shindano hilo
anayefahamika kwa jina la ‘Ally
Zahir Zorro’ ambaye ni Muimbaji
mkongwe wa muziki nchini
Tanzania aliyeungana na majaji
wengine ‘Ian Mbugua’ wa Kenya
na muimbaji ‘Juliana Kanyomozi’
wa Uganda kama majaji wa
‘Tusker Project Fame ‘ msimu
huu wa 6.
Uwepo wa ‘Ally Zahir Zorro’
kwenye mshindano hilo la kuibua
viapaji limekuja baada ya
Mwanamuziki huyo mkongwe
amechukua nafasi ya aliyekuwa
jaji kwa misimu iliyopita
anayefahamika kwa jina la
‘Hermes Lyimo’, ambapo hata
hivyo uwepo wa mkongwe huyo
wa muziki wa Tanzania
haukuwavutia mashabiki wa
shindano hilo kutokana na
maneno waliyokuwa wakiyatoa
kwenye mitandao ya kijamnii.
Chini ni baadhi ya maneno ya
mashabiki hao:
“@aimabadi: @IanMbugua
Do you have any plans of
bringing back judge Hermes
on #TPF6 ” Sadly not up to
me” can we placard? I hate
new judge.
— Rayhab Gachango
(@potentash) October 6,
2013
“@marcusolang : Zorro from
Tanzania. Or, as my fiancée
calls him: “5 Chainz.”
#tpf6 ” he should do a
sengenge ad.
— Njeri Ngige
(@SunnyLikeNjeri) October
6, 2013
@IanMbugua #TPF6 Julianna
& Ian where so isolating
Zorro, d expression on
Julianas face whenever zorro
opened his mouth was
evident
— Daphny (@wegnerdk)
October 6, 2013
#JudgeZorro mst be the lost
twin bro, to Franco!..na
wao/; #tpf6
— Chiquitta Sue
(@SuzzyMadds) October 6,
2013
I know Tanzanians are world
re-known for their lows but
#JudgeZorro has given ‘low’
a new definition… #TPF6
— The Makodingo®
(@makodingo) October 6,
2013
#JudgeIan must be having a
field day with #judgeZorro
since all he is saying is good
job.. #TPF6
hahahaahaa…. #funny
— 18th Oct JulianaLive
(@geobilljuice) October 6,
2013
watching #TPF6 and
wondering where TF is judge
Hermes i wonder who chose
this man Zorro…
mayoooooo!!
— Martha M.M
(@Dswitchilli) October 6,
2013
#JudgeZorro salute right
back atcha……kizungu ndo
hard nini??
— Taiy Cheruiyot
(@jacquelyn_Cc) October 6,
2013
Two words #JudgeZorro
#Tpf6 #dead
— Vania Maria
(@VaniaLattechoco) October
6, 2013

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑