HUKO TWITTER, DIAMOND PLATNUM AMSHUSHUA SHABIKI,..NOMA SANA. SOMA MWENYEWE HAPA

image

Kupitia mtandao wa kijamii wa
Twitter, makubwa yamkuta follower
mmoja wa msanii marufu hapa
Tzee Dangote aka Diamond
Platnumz, baada ya Diamond
kupost picha yake nzuri tu, huku
aki-show off tattoo zake, basi ishu
ilikuwa ni pale follower huyo alipo
muambia Dangote, “sawa
umependeza blo,ila sisi watz
hatuchoragi hzo v2″, na Dangote
Bila kuchelewesha akamshukia na
kumjibu “wamakonde vipi?”, hata
ukiwa wewe umeandikiwa hivyo
hutakuwa na cha kuongezea hapo
cause hizo ni tamaduni za watu,
tuache wafanye yao.
Kuna baadhi ya watu ambao
wamekuwa wakipingana kwa vitu
mbali mbali wavifanyavyo wasanii
wengi hapa bongo, haswa kwenye
hili suala la tattoo, wazazi wengi
wamekuwa wakiona kama uhuni
kuweka tatoo za aina mbali mbali,
ila ukweli ni kwamba hata huko
nyuma mababu zetu walikuwa
wanafanya mambo kama hayo, kwa
imani zao tofauti, ila kwa vijana
wengi hivi sasa wameonekana kuiga
utamaduni wa wenzetu wa nchi za
nje, na kusahau hata hapa kwetu
nchini kuna makabila yanayochora
na kufanya mambo kama hayo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑