NINA UHAKIKA ULIKUA HULIJUI JAMBO HULU KUWAHUSU WEMA NA DIAMOND HUKO INSTAGRAM.

image

Haina ubishi kua Diamond na Wema ndio wasanii pekee
wanaoongoza kwa kuandikwa na magazeti na mtandaoni.
Wote wawili wanakubalika sana ukianza na Diamond katika
mziki na Wema katika Bongo Movie. Usisahau kua  Diamond
nae kaingia katika Bongo Movie na kaigiza na Wema movie
ambayo hadi leo bado inasubiriwa kwa hamu kubwa. Lol.
UNAWEZA SOMA : YAJUE MADHARA HAYA YA KUFANYA
NGONO KINYUME NA MAUMBILE
Kama utakua ni mpenzi wa Instagram naamini utakua
umewafollow  Wema na Diamond kwani ndo watu
wanaongoza kwa kuongelewa sana Insta na pia ndio wenye
followers wengi zaidi kuliko watanzania wengine wote waliopo
katika Instagram. Mpaka Tunaandika habari hii Diamond
alikua na followers 120,563 na Wema akmfatia akiwa na
Followers 111,450.
Unaweza ukaona ajabu kuhusu hili kani ukweli ni kwamba
pamoja na kua Diamond na Wema ni wapenzi lakini hakuna
aliyemfollow mwenzake kwenye Instagram. Nahisi kila mtu
kauchuna akisubiria mwenzake aanze kumfollow.
UNAWEZA SOMA :
TURUDI CHUMBANI: MAMBO YATAKAYOKUFANYA
UONEKANE BORA KWA MPENZI WAKO MUWAPO CHUMBANI.
Kwa upande wa Wema kwenye ndugu zake Diamond
kamfollow Queen Dalene tu huku akiacha kuwafollow Halima
Kimwana na Esma ambao inasemekana kua  hawapendi
Diamond awe na Wema.
Diamond yeye ana mawazo tofauti kidogo na Wema yeye
kawa Follow ndugu wa Wema wote. Swali kubwa bi kua je
nisawa Diamond kutomfollow Wema Instagram huku Profile
picha yake ikiwa ni ya wao wawili?????? Na je ni sawa kwa
wema kupotezea kumfollow mme wake mtarajiwa?? Tupe
maoni yako hapa.
UNAWEZA SOMA :
ZIJUE SABABU HIZI ZINAZOFANYA WANAWAKE WAVAE NUSU
UCHI.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑