MAHABA NIUE: SHILOLE KIUNO AMKINGIA KIFUA SERENGETI BOY WAKE…SOMA ZAIDI HAPA….

image
Mwanadada anayefanya vizuri
kunako gemu la muziki wa kizazi
kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’

MWANADADA anayefanya vizuri
kunako gemu la muziki wa kizazi
kipya, Zuwena Mohamed ‘Shilole’
ametetea maisha yake ya kimapenzi
na Nuh Mziwanda, akisema madai
kwamba ni kijana mdogo kuliko yeye,
siyo kweli kwani wanalingana umri.
“Mimi na Mziwanda wangu
tunalingana kiumri lakini
nawashangaa sana wanaonisema kila
siku eti ninatembea na Serengeti boy,
jamani mpenzi wangu siyo mdogo
kwangu, tunalingana umri,
ninampenda na yeye ananipenda,
hatujali maneno ya watu,”alisema
Shilole.

image
Nuh Mziwanda
Katika kuonyesha mapenzi yake kwa
mwanadada huyo ambaye pia ni
muigizaji wa filamu, Mziwanda
amejichora tattoo yenye jina la
msanii huyo, ambalo haliwezi
kufutika.
Advertisements

2 thoughts on “MAHABA NIUE: SHILOLE KIUNO AMKINGIA KIFUA SERENGETI BOY WAKE…SOMA ZAIDI HAPA….

Add yours

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑