BREAKING NEWS……AJALI MBAYA SANA SANA YATOKEA MKOANI DODOMA LEO ASUBUHI

Ajali mbaya imetokea mida kama ya masaa matatu yaliyopita katika eneo la pandambili wilayani kongwa mkoani dodoma na kuua watu kumi na mbili papo kwa hapo na watu wengine watano kufia njiani wakati wakielekea hospitali kutibiwa. Ajali hiyo imehusisha basi la abiria likiwa linatokea wilayani mpwapwa kuelekea dar lililogongana uso kwa uso na lori lilikua linasafirisha mabomba kutoka dar kuelekea dodoma

image
Baadhi ya wananchi wakiliangalia basi lililopata ajali la kampuni ya moro best
image
Basi la more best likiwa limeharibika vibaya
image
Baadhi ya mabomba yakiwa chini baada ya ajali hiyo
image
Baadhi ya waandishi wa habari
image
Basi la moro best linavyoonekana kwa nyuma
image
Miili ya marehemu ikiwa imefunikwa
image
Basi la moro best linavyoonekana kwa ubavuni
image
Miili ya marehemu

Chanzo cha ajali hiyo inasemekana na mashuhuda kua ni mwendokasi mkubwa lori

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑