SAD NEWS: MASKINI ESHA BUHETI WA BONGO MOVIE HALI YAKE NI TETE HOSPITALI…TUMUOMBEE!

MUIGIZAJI aliyelamba tuzo ya Muigizaji
Bora wa Kike katika Tamasha la Zanzibar
Festi val Film ‘ZIFF’ mwaka huu, Esha
Salim Buheti hali yake siyo nzuri na
anahitaji maombi ili apone kutokana na
kusumbuliwa na tatizo la uvimbe
kwenye kizazi.

image
Mwigizaji, Esha Salim Buheti akiwa
hoi kitandani.

Akizungumza na Ijumaa lililokwenda
kumjulia hali katika Hospitali ya TMJ
iliyopo Mikocheni jijini Dar, Esha alisema,
alifikishwa hospitalini hapo juzi
Jumatano akiwa na hali mbaya kufuatia
‘kuendesha’ ile mbaya.
“Nilifikishwa hapa nikiwa na hali mbaya,
nilikuwa ‘naendesha’ sana hadi kufikia
hatua ya kuishiwa nguvu, ilibidi
wanichukue vipimo ili kujua tatizo.

image
Akihudumiwa Hospitalini.

“Baadaye wakan iambia nina uvimbe
kwenye kizazi na UTI, yaani dah!
Naomba Mungu anisaidie na naomba
mashabiki wangu pia waniombee
nipone,” alisema Esha

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑