Video ya Davido akimponda Diamond, wikii hii alipokua Kenya.

image

Inaonekana bifu la Davido na Diamond bado
linaendelea japo wao wenyewe kusema kua
hakuna bifu kati yao wawili. Wiki hii Davido
alikua Kenya na kibaya zaidi alilalamikiwa na
mashabiki wake kua alipanda stejini kalewa na
kufanya show iliyochukua dakika 20 tu kisha
akashuka.
Kabla ya Show hiyo Davido alifanyiwa
mahojiano na kituo cha Tv cha Kenya na Davido
aliulizwa swali kama nyimbo za Davido
zinapigwa nchini Nigeria alisema NO
akimaanisha kua hua nyimbo za Diamond
hazipigwi Nigeria. Ila alisema nyimbo za wasanii
wengine wa Afrika Mashariki zinapigwa kama za
Saut Soul.
Unaweza tazama video ya Davido alipokua
akihojiwa hapa chini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑