K-LYN amfunga ndomo ZARI kwa “PESA” Sasa K-Lyn Ndio Bosslady wa Ukweli

image

Miss Tanzania wa mwaka 2000 na
mwanamuziki wa bongo fleva, jackline
ntuyabaliwe aka k- lyn hatimaye amekuwa mke
mke rasmi wa mfanyabiashara maarufu na
TAJIRI nambar moja nchini, Reginald mengi
baada ya kufunga ndoa iliyohudhiriwa na
mastaa mbali mbali wa nchini ufaransa na
Tanzania.
Kama ilivyo ada kwa mke wa raisi kuitwa “FIRST
LADY vivyo hivyo kwa mke wa tajiri jina
hubadilika na kuwa “BOSSLADY “. Kutokana na
hali hiyo kuanzia sasa k-lyn anakuwa ndiye raisi
wa ma bosslady wote afrika mashariki kutokana
na pesa aliyonayo mumewe mzee reginald
mengi.
Awali kabla ya k-lyn kutwaa wadhifa huo,
mwanamuziki na mfanyabiashara toka uganda
ambaye ni mpenzi wa mwanamuziki nguli wa
bongo fleva diamond platnumz, zarinah hussein
aka zari aliaminika ndiye anayeongoza kwa pesa
kwa mastaa Africa mashariki. Kwa sasa hali
imebadilika na taji hilo kuelekea kwa mwana
mama mrembo K -lyn.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

Up ↑